January 19, 2020


IMEELEZWA kuwa Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United anampigia hesabu nyota wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes.

Baada ya dirisha dogo kufunguliwa mwezi Januari, mchezaji huyo amekuwa akitajwa sana kutua ndani ya United kwa sasa.

Inaelezwa kuwa nyota huyo anatajwa kuwa mbadala wa kiungo wake Paul Pogba ambaye ambaye anasumbuliwa na majeraha kwa sasa.

Hata hivyo ugumu wa kumpata nyota huyo unaongezwa na watani wao Mancheter City na Chelsea ambao nao wanatajwa kuiwania saini ya nyota huyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic