Sasa kwani wewe MANARA umeshajua timu itakayochukua ubingwa wa ligi kuu na ASFC? Na kama umejua ina maana hizi tuhuma zakununua mechi zitakua zina ukweli,brother wakati mwingine unapaswa kutafakari kwa kina kabla hujaongea wala kuandika jambo lolote kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii,inawezkena simba inacheza mpira lakin kauli za baadhi ya watu zikaendana na dhana flani katika kipindi ama wakati fulani,badilisha mtazamo wako tunaipenda simba na pia tunaipenda yanga kwasababu hakuna yanga bora pasipokua na simba imara,na yote tunapigania taifa letu la tanzania likue zaid kisoka,mungu ibariki simba mungu ibariki yanga na mungu ibariki Tanzania na viongozi wake AMEENI.
kaka anachosema manara ana uhakika nacho......wanajua watachukua makombe kwa mpango wao wa kununua mechi......hebu angalia mechi yao ya jana dhidi ya Namungo,goli la tatu hata chongo hapati shida kutambua kuwa lilikuwa off side lakini likakubaliwa.Hivyo hakuna haja ya kubishana nae,wanachokifanya wana uhakika nacho.
Manara amesema kila mtu abebe msalaba wake.Hakuna kuingia kwa kanuni. Anayeshinda ndio ana haki ya kuwakilisha Leo.Hamna longolongo wala majungu. Kuna timu ilishacheza mechi za ugenini na nyumbani zote nyumbani.Enzi za Malinzi. Ukizoea mbeleko halafu zije zama za haki unaona unaonewa.
Kwa matokeo inayopata Simba pindi ikikutana na Timu hizi ndogo inaonyesha kuwa usajili mlioufanya haiendani na gharama ya billioni mbili mliyotumia. hata mchezo wao ni wa kawaida sana. Naona hata michezo ya Kimataifa hawatafika mbali.
Waeleze ukweli ingawa unauma.
ReplyDeleteHuyo chizi tu tumemzoea
ReplyDeleteSasa kwani wewe MANARA umeshajua timu itakayochukua ubingwa wa ligi kuu na ASFC? Na kama umejua ina maana hizi tuhuma zakununua mechi zitakua zina ukweli,brother wakati mwingine unapaswa kutafakari kwa kina kabla hujaongea wala kuandika jambo lolote kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii,inawezkena simba inacheza mpira lakin kauli za baadhi ya watu zikaendana na dhana flani katika kipindi ama wakati fulani,badilisha mtazamo wako tunaipenda simba na pia tunaipenda yanga kwasababu hakuna yanga bora pasipokua na simba imara,na yote tunapigania taifa letu la tanzania likue zaid kisoka,mungu ibariki simba mungu ibariki yanga na mungu ibariki Tanzania na viongozi wake AMEENI.
ReplyDeletekaka anachosema manara ana uhakika nacho......wanajua watachukua makombe kwa mpango wao wa kununua mechi......hebu angalia mechi yao ya jana dhidi ya Namungo,goli la tatu hata chongo hapati shida kutambua kuwa lilikuwa off side lakini likakubaliwa.Hivyo hakuna haja ya kubishana nae,wanachokifanya wana uhakika nacho.
DeleteJAPO SIMBA IMARA NI CEMENT KUTOKA TANGA.asanteni kwakushiriki.
ReplyDeleteManara mropokaji Kama mwanamwari kigoli, tusimlaumu Sana maana ndio kula yake.
ReplyDeleteSawa.Endeleeni na ujanja ujanja. Mtaendelea kuua mpira wa tz.
ReplyDeleteManara amesema kila mtu abebe msalaba wake.Hakuna kuingia kwa kanuni. Anayeshinda ndio ana haki ya kuwakilisha Leo.Hamna longolongo wala majungu. Kuna timu ilishacheza mechi za ugenini na nyumbani zote nyumbani.Enzi za Malinzi. Ukizoea mbeleko halafu zije zama za haki unaona unaonewa.
ReplyDeleteKwa matokeo inayopata Simba pindi ikikutana na Timu hizi ndogo inaonyesha kuwa usajili mlioufanya haiendani na gharama ya billioni mbili mliyotumia. hata mchezo wao ni wa kawaida sana. Naona hata michezo ya Kimataifa hawatafika mbali.
ReplyDelete