Kiungo Mkabaji, James Agyekum Kotei Raia wa Ghana amefungukia tetesi za usajili wake zikimuhusisha kutua Yanga.
Kotei aliyeitumikia Simba kwa Kipindi cha Misimu Mitatu kuanzia 2016, aliachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita na kutua Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa mkabata wa miaka mitatu.
Mghana Huyo tangu atue kwenye kikosi cha Kaizer amekuwa hana maisha mazuri huku akitumia muda mwingi kuishia benchi.
0 COMMENTS:
Post a Comment