Kama kawaida yake!! Baada ya kuona msemaji mwenzake kutoka Yanga, Antonio Nugaz, akichapia kwa kusema kuwa Yanga ikishinda mechi tatu itakuwa na alama sita badala ya sita, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ameandika hiki kuhusiana na Nugaz katika mtandao wake wa Instagram.
Nini maoni yako? Tuandikie hapa chini.
Manara me najua ni msemaji wa simba ila kukicha anatafutaa yanga wamefanya nn ataumia snaa na bdooo
ReplyDeleteAmesema kweli Manara. Mubuga za wanyama ns mpira wapi na wapi.Hajui hata timu ikishinda inapata pointi ngapi!!Huo utumwa wa kulazimishwa na GSM kuletewa huyu jamaa sisi wanayanga lazima tuukubali kwa sasa sababu ya hali yetu au tuingie kwenye mabadiliko?
ReplyDeleteKama kawaida yake ndio nini?Yaani kiongozi asiyejua hata point system asiambiwe?Blog hii wacheni ushabiki wa kijinga .
ReplyDeleteKuna mambo mambo mengi sana ya kufanya ya kubadili mifumo na kusaidia pira wa nchi hii, watu wanapoteza muda kujadili makosa yasiyo ya kiufundi. Very unprofessional.Yaani kweli nchi ijadili kati ya sita na tisa kipi sahihi? No wonder hatusogei.
ReplyDeleteUsipojua tofauti ya 6 na 9 kwenye mpira utabadili nini?Rekebisha na jua mpira unaendeshwaje?Hua kanuni za football ndio uzungumzie kubadili mfumo.Hujajua ABC za mpira uzungumzie mfumo itakuwa kichekesho.
ReplyDelete