January 9, 2020


LUC Eymael, Kocha Mkuu mpya wa Yanga amesema kuwa anafurahi kujiunga na kikosi hicho kwenye benchi la ufundi.

Eymael ametua Bongo leo na atajiunga na klabu ya Yanga baada ya kumaliza taratibu za mwisho.

Akizungumza mara baada ya kutua kwenye ardhi ya Bongo, Eymael amesema kuwa anaona fahari kujiunga na timu kubwa.

"Ni furaha yangu kuona kwamba nimepata timu kubwa ndani ya Afrika. Ninaitambua vema falsafa yake na namna ilivyo hivyo nina imani tutakwenda nayo sawa," amesema.


5 COMMENTS:

  1. Ulivyokuwa ukiitambua si hivyo ilivyo , kwa sasa imebaki kuwa bingwa wa historia ikipigania kuwa bingwa wa jiografia

    ReplyDelete
  2. Ulivyokuwa ukiitambua si hivyo ilivyo , kwa sasa imebaki kuwa bingwa wa historia ikipigania kuwa bingwa wa jiografia

    ReplyDelete
  3. ulikuwa but saiv huijui kalibu ujionee mwenyewe coz maneno yakuambiwa huwaga sio poa sana

    ReplyDelete
  4. Hakuna timu subiri kufukuzwa kama mbwa na hutalipwa mshahara uliza wenzio

    ReplyDelete
  5. Hakikishaunapesa lasihivyo utauza nguo zako

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic