FT ; Mtibwa Sugar 1-1 Yanga
Kwa matokeo haya mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penalti
Dakika ya 90+2 Mtibwa Sugar wanasawazisha kupitia kwa shuti kali la Shomary Kibwana akiwa ndani ya 18
Dakika 90 zinakamilika zinaonezwa dakika 3
Dakika ya 78 Mtibwa wanakosa nafasi nyingine ya waziDakika ya 71 Makarani anaingia kuchukua nafasi ya ChanongoDakika ya 69 Kihimbwa anachezewa faulo nyingineDakika ya 68 Kihimbwa anachezewa rafu na Ally AllyDakika ya 67 Kibaya anakosa nafasi ya wazi inayomkuta Kabwili jumla
Dakika ya 65 Issa Rashid anaanzisha mashambulizi kwenda kwa Kabwili
Dakika ya 49 Fei Toto anachezewa rafu na Humud
Dakika ya 46 Kihimbwa anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Kipindi cha pili Kelvin Yondani anaingia kuchukua nafasi ya Dante
HT: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga
Zinaongezwa dakika ya mbili
Dakika ya 43 Rifath Khamis anakosa nafasi ya wazi akiwa na Kabwili
Dakika ya 37 Kaseke anafunga Gooool la kwana akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Balama Mapinduzi
Dakika ya 35 Ally Ally anamchezea rafu Chanongo
Dakika ya 35 Kihimbwa anaingia ndani ya 18 ya Yanga mabeki wanaokoa
Dakika ya 33 Kabwili anaokoa hatari ya kona iliyopigwa na Kihimbwa
Dakika ya 32 Fei Toto anamchezea rafu Awadhi Juma
Dakika ya 31 Kibwana Shomari anafanya jaribio butu kwa Kabwili
Dakika ya 28 Kihimbwa anaonywa na mwamuzi, Kabwili anaokoa
Dakika ya 27 Mapinduzi anaotea
Dakika ya 26 Mponela anatoa nje mpira unarushwa kuelekea Yanga
Dakika ya 25 Mtibwa Sugar wanapeleka mashambulizi kwa Yanga
Dakika ya 24 Kiongo wa Yanga amechezewa rafu na Humud
Dakika ya 23 Kibwana Shomari anarusha
Dakika ya ya 22 Mtibwa wanapiga mpira huru hauzai matunda, Kibwana Shomari anarusha ndani ya Yanga Dante anazuia
Dakika ya 21 Ally Ally anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu mchezaji wa Mtibwa Sugar
Dakika ya 20 Kaseke, Ally Ally, Mapinduzi, mlinda mlango anaudaka wa Mtibwa na kuanzisha mashambulizi
Dakika ya 19 Yanga wanapata nafasi kupitia kwa Kiongo anaipaisha
Dakika ya 18 Mtibwa Sugar wanapelekea mashambulizi kwa Kabwili
Dakika ya 16 Chanongo anachezewa rafu anafanya jaribio matata linaokolewa na Kabwili
Dakika ya 15 Makapu, Mapinduzi, Kaseke mpira unatoka nje
Dakika ya 14 Dickson Job anapiga mpira huru
Dakika ya 13 Yanga wanapeleka mashambulizi Mtibwa Sugar
Mapinduzi hatua ya Nusu Fainali
Mtibwa Sugar 0-0 Yanga
Uwanja wa Amaan
Mchezo unaoendela kwa sasa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar ni kati ya Mtibwa Sugar na Yanga.
Mpaka sasa kipindi cha kwanza hakuna ambaye ameona lango la mpinzani.
0 COMMENTS:
Post a Comment