FT : Alliance 1-4 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Dakika ya 84 Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Dilunga
, mlinda mlango wa Aliance anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 81 Ajibu ndani Chama anatoka
Dakika ya 73 Fraga anaingia akichukua nafasi ya Shiboub
Dakika ya 72 Goool Dilunga akimalizia pasi ya Shiboub
Dakika ya 63 Clatous Chama anafunga bao la tatu kwa faulo akiwa nje ya 18kwa guu la kulia
Dakika ya 62 Luseke anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 58 Kagere anafunga Gool la pili akimalizia pasi ya Clatous Chama
Dakika ya 57 Kocha wa Alliance Minziro anapewa kadi ya njano
Dakika ya 52 Michael anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linapanguliwa na Kakolanya inakuwa kona ya kwanza kwa Alliance
Dakika ya 49 Michael Chinedu anakwenda nje anaingia Shija Mkina
Dakika ya 46 Mwenda anapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Kipindi cha pili kimeanza
HT:Alliance 1-1 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goool: Israel Mwenda dk ya 27
Goooal Mkude dk 45+3
Zimeongezwa dakika tatu
Dakika ya 45+3 Jonas Mkude anasawazisha bao kwa guu lake la kulia akiwa nje ya 18
Dakika ya 43 Alliance wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 35 Simba wanapiga kona ya tisa zote hazijazaa matunda
Dakika ya 34 Shiboub anacheza na Kapombe inaondolewa hatari
Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal akiwa nje ya 18
Dakika ya 26 Nyoni anamchezea rafu mchezaji wa Alliance nje kidogo ya 18Dakika ya 24 Nyoni anapeleka mashambulizi Alliance
Dakika ya 19 Shiboub anapaisha juu pasi ya Kahata akiwa ndani ya box
Dakika ya 16 Kahata anapeleka mashambulizi kwa Alliance
Dakika ya 15 Simba wanapata kona ya nne inapigwa Chama
Dakika ya 13 Kakolanya anaokoa hatari
Dakika 12 Dilunga anapasha mpira akiwa na minda mlango
Dakika ya 11 Uwanja wa CCM Kirumba
Dakika ya 10 Chama anapiga kona ya pili kwa Simba







Yanga wamsajili huyu pia!
ReplyDeleteandikeni taarifa sahihi Half Time 1-0
ReplyDeleteMpumbavu wewe,huangalii mpira au?dk za nyongeza za kipindi cha kwanza simba anasawazisha goli,sasaviweje unasema ht 1-0???kivip labda?
ReplyDeleteTHIS IS SIMBA 4G
ReplyDeletemwandishi amekosea sio mm jifunze lugha
ReplyDeleteHa ha ha ha ha by mwakan tutahamia 5G wajipange upande wa pili,tunaendelea kusema mpira pesa nyie endeleen kuogopa kuwekeza mtaona matokeo yake.poleni sana maana najua hajafungwa alliance pekee.
ReplyDeleteBado kidogo tuu,yanga tutaeafikia tupeni kama mechi 100
ReplyDeleteHongereni vijana,Mkude,Dilunga,chama na wengine wote asanteni sana. Na aluta continua mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke tuwapuuze hao wanaojisifia kuwa wana timu na sio mpira uwanjani .Asante Matola kwa kumsaidia Mzungu kujua fitna za wabongo na Majungu yao yaliyojaa uchawi. Hongereni sana vijana.Simba,Simba,Simba...malizia mwenyewe.
ReplyDelete