FT Mtibwa Sugar 1-0 Simba
Goool: Awadh dk 38
Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi ni Mtibwa Sugar
Dakika ya 90+4 Ajibu anaonyeshwa kadi ya njano
Zinaongezwa dakika nneDakika ya 89 Mashabiki wanaanza kuondoka taratibu uwanjani
Dakika ya 84 Kagere anaotea
Dakika ya 81 Kagere anacheza rafu kwa mchezaji wa Mtibwa
Dakika ya 77 Riphat Khamis anaingia
Dakika ya 75 Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Shamte
Dakika ya 70 Chama anacheza rafu kwa Kibwana
Dakika ya 69 Mtibwa Sugar wanapata kona ya sita
Dakika ya 67 Omary Sultan anaingia kuchukua nafasi ya Salum Kihimbwa
Dakika ya 66 Ajibu anafanya jaribio nje ya 18 linatoka jumla nje
Dakika ya 62 Kibaya anafanya jaribio inakuwa kona ya tano kwa Mtibwa inapigwa na Kibwana inatolewa inakuwa kona nyingine
Dakika ya 61 Chanongo anaingia
Dakika ya 60 Kakolanya anaokoa shuti la Onesmo inakuwa kona inapigwa na Kibwana, Ajibu anaingia kuchukua nafasi ya Ndemla
Dakika ya 59 Kahata anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 55 Kagere anajaribu kwa shuti akiwa nje ya 18, Kado analiokoa anakwenda kumchezea rafu Kado anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 54 Mkude, Ndemla, Shamte, Mkude,
Dakika ya 51 Simba wanaotea
Dakika ya 47 Kakolanya anaokoa shuti kwenye eneo lake
Dakika ya 46 Kahata anapiga kona haiazia matunda, Kibaya anawakimbiza Simba
Dakika ya 45 Kahata anaingia anatoka Rashid Juma pamoja na Wawa kuchukua nafasi ya Santos
HT: Mtibwa Sugar 1-0 Simba
Gooal Awadh Salum dk 38
Dakika mbili zinaongezwa
Dakika ya 45 Ndemla anapiga shuti refu halizai matunda
Dakika ya 44 Shamte na Kibaya wapo chini wanapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 42 Mtibwa Sugar wanatengeneza nafasi kupitia kwa Kibaya anatibuliwa na Santos
Dakika 41 Kado anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 40 Mtibwa Sugar wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 38 Awadh Salum Goooooool
Dakika ya 37 Miraj anashindwa kuendelea anaingia Dilunga
Dakika ya 36 Kibaya anaotea
Dakika ya 35 Miraj anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 33 Mayaya na kipa Kakolanya anaokoa
Dakika ya 30 Ndemla anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linakamatwa na mlinda mlango
Dakika ya 27 Kakolanya anaanzisha mashambulizi kwa Kado
Dakika ya 25 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18 inapigwa na Chama
Dakika ya 24 Simba wabapata kona ya pili inapigwa na Chama haizai matunda
Dakika ya 23 Rashid Juma anajirusha kabla hajaguswa inapigwa faulo kwenda Simba kwa mujibu wa mwamuzi
Dakika ya 22 Kakolanya anakuwa kwenye hekaheka kwa shuti la Kihimbwa lililogonga mwamba
Dakika ya 21 Simba wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 19 Shamte anapiga faulo inaishia kwenye ngome ya Mtibwa
Dakika ya 18 Kagere anachezewa rafu nje kidogo ya 18
Dakika ya 17 Humud anaanzisha mashambulizi kwa Mtibwa
Dakika ya 15 Gadiel Michael anapeleka ndani ya 18, Miraj anamtengeneza Kagere mabeki wanaanua mazima
Dakika ya 15 Issa Rashid, Humud anapeleka mbele mashambulizi anazuiwa na Shamte
Dakika ya 14 Ndemla anapiga pasi ndefu mbele inakwama inakutana na Issa Rashid, Gadiel Michael anapeleka pasi kwa Kagere anapishana na mpira
Dakika ya 13 Mtibwa wanaliandama eneo la Simba
Dakika ya 11 Nyoni ananzisha kwake Mkude wanarudishiana tena nyuma na Nyoni
Dakika ya 10 Mkude, Ndemla, Chama, Mkude, Rashid Juma, Gadiel Michael anapaisha
Dakika ya 09 Kona haizai matunda, Kakolanya aanzisha mashambulizi
Dakika ya 08 Mtibwa Sugar inapata faulo karibu na eneo la Simba inapigwa na Onesmo Mayaya anaipangua Kakolanya
Dakika ya 05 Shomari anabutua kwa Kibaya
Dakika ya 04 Mtibwa Sugar Issa Rashid anaokoa hatari ya Mkude
Dakika ya 2 Chama anachezewa rafu
Leo Januari 13, Uwanja wa Amaan ni fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Mtibwa Sugar na Simba.
Mashabiki wengi wamejitokeza leo kushuhudia fainali
Yanga vs Mtibwa, Yanga kapanga team ya reserve mtibwa kasawizisha dakika za mwisho na Yanga wamenyimwa penati. Simba vs Mtibwa, Simba kapanga kikosi cha kwanza matokeo Simba kalala 1-0 na mtibwa wamenyimwa penati..... AHH HUMUD kumbe amesema kweli kazi nzito ilikuwa kuifunga Yanga kwa Simba laini kama wana nawa 😀😀😀✅✅✅
ReplyDeleteJe simba nao wamemkimbia yanga fainali? @Haji Manara
ReplyDelete