Simba inatinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 walizopata Azam FC
Penalti ya tano kwa Azam inapigwa na Abarola,inaokolewa
Penalti ya tano kwa Simba inapigwa na Kagere inapanguliwa na Abarola
Penalti ya nne inapigwa na Ngoma anapaisha juu
Penalti ya nne inapigwa na Mkude inazamisha nyavuni
Penalti ya tatu inapigwa na Bruce Kangwa, anazamisha nyavuni
Penalti ya tatu inapigwa na Bocco inazama nyavuni
Penalti ya pili inapigwa na Kipagwile, inagonga mwamba
Penalti ya pili kwa Simba Shiboub anakataliwa na Abarola
Yakub anapiga kwa Azamisha nyavuni
Nyoni anapiga penalti ya kwanza, anauzamisha nyavuni
0 COMMENTS:
Post a Comment