January 10, 2020




























FT: Azam FC 0-0 Simba
Razack Abarola anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 90+2
Dakika ya 90+1 Bocco anachezewa rafu inapigwa na Luis haizai matunda
Zinaongezwa dakika mbili
Dakika ya 90 Abarola anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 89 Luis anafanya jaribio kwa mpira wa adhabu inadakwa na Abarola, na Kagere anadhibitiwa, Lusi anabutua kubwa
Dakika ya 88 Rashid Juma anachezewa faulo
Dakika ya 85 Simba inapata kona inapigwa na Luis inaondolewa kwenye hatari
Dakika ya 83 Rashid anamtengenezea Kagere anatoa nje 
Dakika ya 81 Chirwa nje anaingia Ngoma
Dakika ya 80 Dilunga nje, anaingia Rashid Juma
Dakika ya 79 Luis mwenye maamuzi ya haraka anatuliza na kupiga shuti ila mwamuzi anasema ameotea
Dakika ya 77 Tshabalala anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 76 Naldo anatoka anaingia Kipagwile
Dakika ya 75 Simba wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 74 Abarola anaokoa shuti la nje ya 18 la Shiboub
Dakika ya 73 Abarola anaanzisha mashambulizi kwa Kakolanya
Dakika ya 71 Chilunda anampisha Abdulkasim Khamis
Dakika ya 70 Lusi anafanya jaribio linazuiwa na mabeki
Dakika ya 69 Bocco anaingia kuchua nafasi ya Ajibu, Luis anaingia kuchukua nafasi ya Kahata
Dakika ya 68 Kakolanya anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 67 Chilunda anakosa nafasi ya wazi akiwa na Kakolanya
Dakika ya 66 Kahata, Shiboub anapoteza 
Dakika ya 65 Abarola anainyaka kona ya Ajibu na kuanzisha mashambulizi kwa Chirwa
Dakika ya 64 Oscar Masai anaingia kuchukua nafasi ya Abdlah Kheri Sebo aliyeumia
Dakika ya 63 Sebo anatolewa nje kwa machela kupewa huduma ya kwanza zaidi
Dakika ya 61 Sebo anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 60 Kagere anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 inadakwa kiwepesi na Abarola
Dakika ya 59 Azam wanapata kona ya pili inapigwa na Naldo
Dakika ya 56 Chirwa anakunjuka bonge moja ya shuti inatoka nje
Dakika ya 55 Chirwa anaotea
Dakika ya 54 Ajibu anapiga pasi ndefu inamkosa Kapombe
Dakika ya 52Abarola anaanua majalo
Dakika ya 51 Kapombe, Mkude, Kahata unaishia kwa Abarola
Dakika ya 50 Kagere anafanya jaribio linakamatwa na Abarola
Dakika ya 49 Chilunda anafanya shambulio linaishia kwa Kakolanya
Dakika ya 47 Azam FC wanashambulia ngome ya Kakolanya
Dakika ya 46 Kagere anamtengenezea nafasi Ajibu inaanuliwa, Sasa ni Chirwa na Chilunda
Dakika ya 45 Ajibu anacheza rafu

Kipndi cha pili kimeanza

HT:Azam FC 0-O Simba
Uwanja wa Amaan

Dakika mbili zinaongezwa
Dakika ya 45 Abarola anaokoa kona ya Ajibu
Dakika ya 44 Masud Abdala anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 42 Dikunga anachezewa rafu ne kidogo ya 18 na Wadada
Dakika ya 40 Wawa anabutua nje mpira, Wadada anapeleka ndani Kakolanya anaokoa
Dakika ya 37 Kagere akiwa ndani ya 18 anatoa pasi inabutuliwa na mchezaji wa Azam FC unakuwa wa kurushwa
Dakika ya 36 Naldo anachezewa rafu na Kapombe
Dakika ya 33 Bruce Kangwa anapiga kona ya kwanza kwa Azam FC inatoka nje
Dakika ya 32 Kahata anakabwa na Yakub, Chilunda, Naldo, Abdalah, Wadada anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linamponyoka Kakolanya kona ya kwanza kwa Azam FC
Dakika ya 31 Kapombe, Kakaolanya, Nyoni, Tshabalala, Ajibu anakuwa ameotea
Dakika ya 29 Kagere anafanya jaribio halizai Abarola anapangua
Dakika ya 28 Wadada, Sebo, Rafael Simba wanarusha
Dakika ya 27 Abarola anaanzsha mashambulizi kwa Kakolanya
Dakika ya 26 Ajibu anapiga faulo inapigwa kona ya tano kwa Simba haizai matunda
Dakika ya 24 Ajibu anachezewa rafu na mchezaji wa Azam FC inaigwa faulo, Wawa, Shiboub, Wawa, Tshabalala anachezewa rafu na Joseph Mahundi
Dakika ya 23 Nyoni anaondosha hatari
Dakika ya 21 Ajibu anapiga kona ya nneAbarola anapangua bichwa la mchezaji wa Simba
Dakika ya 20 Mpira unaendelea sasa Amaan
Dakika ya 19 Abarola bado yupo chini anapewa huduma ya kwanza.
Dakika ya 18 Kangwa,Kagere Dilunga anazidiwa mbio na Kangwa, Abarola anapewa huduma ya kwanza 
Dakika ya 17 Kapombe,Kagere, anapeleka ndani hakuna mchezaji wa Simba
Dakika ya 16 Kapombe anajaza majalo ndani yanatolewa na Wadada inakuwa kona ya tatu kwa Simba inapigwa na Ajibu inaokolewa na mabeki wa Azam
Dakika ya 15 Abarola anaanzisha mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 14 Kahata anacheza faulo kwa mchezaji wa Azam FC
Dakika ya 13 Kakolanya, Shiboub, Nyoni, Kapombe, Dilunga, inatolewa na Yakub inakuwa kona ya pili kwa Simba inapigwa na Ajibu haizai matunda
Dakika ya 12 Simba wanapiga kona ya kwanza na Ajibu haizai matunda
Dakika ya 11 Wadada anacheza faulo inapigwa na Ajibu dakika ya 12 nje kidogo ya 18
Dakika ya 11 Kahata anchezewa rafu
Dakika ya 10, Dilunga, Kapombe, Mkude, anatanguliza mbele Kahata anachonga pasi matata Simba wanakosa nafasi ya kwanza ya wazi
Dakika ya 9 Shiboub anachezewa rafu, Kapombe anaanzisha safari kwa Azam FC, Ajibu anapiga shuti linagomewa na Abarola 
Dakika ya 7 Dilunga anafanya jaribio la kwanza kwa Simba mpira unagonga mwamba.

Mchezo wa pili wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi, Visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan

1 COMMENTS:

  1. Haikua kazi rahisi kwakweli,bado tunafundishwa tuachane na tabia(habit) ya kwenda uwanjan na matokeo yetu.all in all hongera kwa timu zote kwa mchezo mzuri sana pongez ziende zaid kwa simba kwakupiga hatua zaid.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic