MASHABIKI wa timu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England wamepanga kutumia dakika 58 kufanya matembezi kwa pamoja nje ya Uwanja wa Old Trafford kuwaenzi ndugu zao waliofariki kwa ajali ya ndege.
Mpango huo wa kutembea kwa dakika 58 unaotarajiwa kufanyika Februari Mosi wakati timu yao itakapocheza na Wolves mchezo wa ligi ni alama ya kuwakumbuka ndugu zao hao waliopatwa na majanga hayo 1958.
Ajali hiyo ya ndege ilitokea Februari 6, inaelezwa kuwa sababu kubwa ilikuwa ni hitilafu kwenye ndege hiyo.

United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solkjaer, ipo nafasi ya tano ikiwa imejikusanyia jumla ya pointi 34 baada ya kucheza mechi 24 ilichapwa mabao 2-0 na Burney kwenye mchezo wake uliopita.
0 COMMENTS:
Post a Comment