IMEELEZWA kuwa, Mtanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na Klabu yake ya zamani ya TP Mazembe aliyesepa klabuni hapo 2016.
Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo aliyekuwa anakipiga JS Saoura ameseaini kandarasi ya miaka miwili.
Inaelezwa kuwa JS Saoura walitaka kumtoa kwa mkopo jambo ambalo nyota huyo anayekipiga pia timu ya Taifa aligomea.
0 COMMENTS:
Post a Comment