January 8, 2020

11 COMMENTS:

  1. Kwa Juma Mgunda sawa kabisa alistahiki.

    ReplyDelete
  2. Wewe ni mwehu tu ndio maana unapingana na walichokifanya wenzio ala wangemchagua huyo wa kwenu msingesema chochote acheni unafiki wenu huo

    ReplyDelete
  3. Hongera mkwasaa kunawanao umie sana timu alicheza nazo mkwasaa ngumu na pia amestaili we baki kuumia

    ReplyDelete
  4. Mtaumia sana kwa ufinyu wenu wa kufikiri..Hongera master

    ReplyDelete
  5. Mkwasa anastahili sana,amecheza mechi ngumu, tena mbili amecheza ugenini,Nyinyi chongeni tu,kwani lini mlimpongeza mtu yeyote kutoka Yanga?

    ReplyDelete
  6. Yaani walikula kiapo kwamba lazima waifunge yanga goli 5 au zaidi lakini duh maji yalizidi unga,hizo no chuki binafsi

    ReplyDelete
  7. Ataambulia tuzo tu lakini ubingwa ni Simba..
    Hakuna timu kuikimbia nyingine mapinduzi zanzibar

    ReplyDelete
  8. Mkwasa hakustahili kwani vigezo vya kocha bora havihusish suala la mechi kua nyumbani wala ugenini,msitudangnye kabisa,kuna msimu yanga alicheza mechi nyingi sana akiwa nyumbani na wengine walichez augenini lakin alichaguliwa kua kocha bora,achen kukariri washkaji zangu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabla ya kupinga ni vizuri kuuliza vigezo vilivyotumika. Mnazungukazunguka tu mnasahau vipengele vya muhimu. Licha ya matokeo aliyoyapata Simba lkn kwenye msimamo wa ligi hakubadili nafasi, alibaki nafasi ya kwanza, Coastal Union alisogea nafasi moja tu kama sijakosea toka sita ha tano, Yanga aliruka nafasi nyingi hadi kuingia nafasi ya pili licha ya kuwa ndiyo timu pekee iliyocheza michezo michache kuliko zote. Hivi swali la msingi hapo ni hili, pamoja na matokeo ambayo timu hizo tatu zimeyapata ni timu ipi iliyopiga hatua zaidi katika kubadili msimamo wa ligi katika mwezi husika? Simba imebaki nafasi ile ile, Coastal nafasi ya tano toka ya sita Yanga ya pili toka nafasi ya tisa!

      Delete
    2. Mfano mwingine ni kuhusu maendeleo ya kiuchumi. Tanzania kwa sasa ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua kwa kasi kiuchumi, inazizidi nchi nyingi hata zile ambazo tayari zimeendelea. Kigezo kinachotumika ni kwamba ndani ya kipindi husika cha sasa imefanya nini kilichoisaidia kupiga hatua zaidi. Itapongezwa zaidi Tanzania ikipiga hatua 10 na kuwa nchi ya 100 toka 110 (ni mfano, si takwimu sahihi) kuliko Ujerumani iliyopiga hatua mbili toka 10 hadi 8 (ni mfano pia)

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic