Ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
Home
»
Kimataifa
»
Kitaifa
» YANGA BHANA, KAMA MLIVYOSIKIA!! SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
January 19, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Hofu yangu ni kuwa MASHABIKI WENYE HASIRA WA YANGA MSIANZISHE KAMPENI KUDHURU MAREFA KWANI AMANI ITAONDOKA VIWANJA VYA SOKA. OMBI BODI YA LIGI NA TFF WAAMBIENI WAAMUZI WACHEZESHE KWA HAKI KWANI LA SIVYO UMEWASIKIA MASHABIKI WA YANGA NA MIKAKATI YAO!
ReplyDeleteYaani unataka mchezaji wa Yanga akimkanyaga mchezaji wa timu nyingine asionyeshwe kadi?Hii wanayoifanya Yanga na Kocha wao,inaitwa diversion technic yaani geuza mwelekeo wa tatizo la timu yao ili kupata kisingizio/visingizio ili kujivua wajibu. Kocha kudai kuna ubaguzi wa rangi!!!Jiulize rafu ya Sonso ilistahili kadi nyekundu au la!Kwenye kanuni za mpira wa miguu ukifanya retaliation act basi ni straight red card.Refa Hans Mabena alichezesha vizuri .Kocha pua hana nidhamu aliingia uwanjani mechi nä Kagera wakati wa mapumziko nä kuzozana na refa bila hatua zozote kuchukuliwa. Wachezaji wakiona kocha anafanya vitendo vya ukosefu wa nidhamu unategemea nini?Yanga isitafute mchawi wakati tatizo ni lao wenyewe .
ReplyDeleteMmesajili mizigo kina Yikpe mkifungwa mnasingizia marefa..hahahah mtateseka sana coz mpira hamjui na kusajili hamjui mnamwaga pesa hovyo tuu..
ReplyDeleteHao vyura
ReplyDelete