February 24, 2020

3 COMMENTS:

  1. Hiyo ni zawadi kwakuwa wachezaji walionesha kiwango cha hali ya juu cha kukomaa kwa kupata Droo nne mfululizo Bila ya kufungwa

    ReplyDelete
  2. bil 1.8 bado hakuna maendeleo yoyote..Ki uhalisia Zahera anagepewa fursa iliyoko Yanga saa hii angekuwa mbali sana

    ReplyDelete
  3. Zahera ni miongoni mwa makocha bora kabisa na wenye moyo na mapenzi ya dhati kwa yanga,hakuna kocha anaweza kufanya kama alivyokua anafanya zahera isipokua mungu ndie atakae mlipa zahera na bila yakupepesa macho haya yanayoendelea ni miongoni mwa malipo ya zahera kwa yanga,haiwezekani mtu ajitolee kwa jasho na damu,hali na mali,alafu mnapata kivuli mnakuja kumwambia aachie kiti dah inauma sana,mungu mlipie zahera na uwapatie yanga sawasawa na mapenzi yako wewe baba AMEN.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic