February 8, 2020


PATRICK Aussems aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na kupigwa chini mwishoni mwa mwaka Jana,2019 amesema kuwa anaamini siku moja ataonana na mashabiki wake wa Simba ambao aliowaacha kwa kurudi tena Bongo.

Kwa sasa nafasi yake ipo mikononi mwa Sven Vanderbroeck ambaye jana alipoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kuanza kusimamia benchi la ufundi.

Kupitia Ukurasa wake wa Istagram, Aussems amesema kuwa amepokea meseji nyingi ambazo zinamtaka arudi ndani ya Simba jambo ambalo anaamini linaweza kutimia siku moja:-

 

6 COMMENTS:

  1. Acheni kuhangaika. Aussems ana heshima yake Simba hilo halina shaka. Timu sasa imekabidhiwa kwa Sven na kazi yake bado inakubalika. Mnachotaka kufanya kuharibu utulivu ndani ya klabu hamtafanikiwa. Mzunguko wa pili ndio umeanza na wachezaji majeruhi wanarejea kwahio hamtoweza kuitoa katika nafasi ya kwanza kwa sasa.

    ReplyDelete
  2. Hata kama Simba wataamua kuachana na Sven basi itakuwa upumabvu kumrejesha Uchebe tena kwani inavyosemekana kabisa kuwa kwa kutumia wapambe wake wanaihujumu timu ili apate kurudi.

    ReplyDelete
  3. Unauhakika anawapambe? Acha uchwara

    ReplyDelete
  4. Mbona mnaweweseka hivyo?Muda si mrefu tutawasikia mnataka na Swedi Nkwabi nae arudi mkidhani ni suluhisho la timu kucheza hovyo kumbe shida ni nyingine kabisa

    ReplyDelete
  5. Kufungwa ni kawaida kwan kila timu inafungwa na ni mchezo wa makosa kila timu inahitaji ushindi na imejiaandaa kushindana siyo kufungwa tu tuelewe hilo wadau wezangu *simba nguvu moja*

    ReplyDelete
  6. Acheni kupotosha asee liverLive dometsome inafungwa though ndio club bingwa na washindi wadunia ije iwe Simba,?
    Simba nguvu moja

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic