February 8, 2020


KUTOKANA na kichapo cha bao 1-0 walichopokea Simba mbele ya JKT Tanzania jana, Februari 7,2020 kupokelewa kwa mtindo wa kipekee kwa mashabiki na viongozi.

Huu hapa ushauri wa Saleh Jembe kwa Simba:-Nimesikia kiongozi mmoja wa Simba akilia kuwa ndani yao kuna hujuma. USHAURI WANGU :- Wawe watulivu, Papara za namna hiyo kama anazoonyesha kiongozi huyo zimekuwa ADUI mkubwa wa Simba mara kadhaa.

Kwani Simba ni nani asifungwe. Kama kuna jambo walishughulikie huko na si kulalama hadharani. Akishindwa anaweza kusema watu wamuelewe.

Yanga walionyesha weledi, walifungwa mechi 2 mfululizo, WAKATULIA, wakajipanga na KURUDI mchezoni.Leo wanafanya vema. Huenda hao viongozi wa Simba wanaweza KUJIFUNZA hapo na kupunguza UJUAJI uliopindukia.

4 COMMENTS:

  1. Wanafanya vema kwenye nini??kwani kuna ligi ambayo yanga wanashiriki tofauti na hii ya vodacom?hakuna kitu pale timu ina wastani wakufungwa kila mechi alafu unasema wanafanya vizuri,wamefunga magoli mangapi?hata ishirini sidhani kama yamefika alafu unawapa sifa,acha uyanga wewe,amechapwa mechi tatu na amesuluhu mechi kibao na bado hajamaliza hata mzunguko wa kwanza,hili zengwe mnalojitahidi kulitengeneza ili simba asichukue ubingwa jitahidin inawezekana mkafanikiwa tena kirahisi kabisa,yanga bado sana kwa simba na mtasubiri sana,hata ukifuatilia rekodi yanga alishahisika kwenye hujuma za upangaji wa matokeo mwaka 1983 mpaka CAF waliingilia hii ishu tanzania haijatokea tena historia kama hii,kwa ufupi simba wasipokua imara katika kipindi hiki watapotea,tunajazwa ujinga kwamba kocha aliopo simba hana uwezo lakini hii sio kweli isipokua dhamira ya upande wa pili nikudhoofisha timu ili iwawie rahisi kuchukua ubingwa,sasa kama mnabisha ngoja muone kitakachotokea ipo siku simba atakuja kupokwa pwenti tena ndani ya msimu huu huu,ila siku zote mwenye haki hawezi kuangamia kamwe isipokua atachelewa tu kupata haki yake,yanga jitahidi matunda yanaanza kuonekana tayari kashapoteza pwent 3 tafuteni mbinu tena wa ajili ya game ijayo apigwe ili iwe rahisi Kwenu,isipokua nanyi pia mjiandae maaana huko mnakokwenda mtaangukia pua.ahsantenI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nahis ww hujierew ss yanga hata tukifungwa tunashangilia mnaletewa hujuma nanani hiv simba kati ya mechi4 umeshinda au umebebw toka mechi na yanga mpaka leo nambie game ulio shinda kihalali ukitoa game zid ya cost union uwe muerewa yanga ss uvumilivu tunao pia kutokufikixha gori 20 ww inakuuma nn kaa kimyaa kwajiri ukwerii unauma timu ykoo haijierew nawww hujierew

      Delete
  2. Jembe we sikuelewagi,kweli simba kunahujuma sasa kama kiongozi anajua hizo hujuma nini unachobisha ungemuuliza si kuleta uyanga wako

    ReplyDelete
  3. Toa ushauri kwa timu ya Yanga. Hii Simba iache hakuna tatizo linalohitaji msaada wako.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic