February 4, 2020


SHIZA Ramadhani Kichuya, kiungo mshambuliaji wa Simba sasa ruksa kukipiga ndani ya Klabu hiyo.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Uongozi wa Simba umeeleza kuwa hatma ya Kichuya kwa sasa kucheza ndani ya Simba ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck baada ya ITC yake kuwasili leo.


Simba leo inashuka Uwanja wa Taifa, saa 1:00 Usiku na itamenyana na Polisi Tanzania ya Moshi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic