KIKOSI cha Mbeya City jana kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar na kusepa jumla na pointi tatu baada ya kutibua mipango ya wapinzani wao hao.
Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya ulikuwa ni wa ushindani kwa timu zote mbili.
Bao la ushindi kwa Mbeya City lilifungwa na Peter Mapunda dakika ya 28 kwa mkwaju wa penalti.
Huu unakuwa ushindi wa pili mfululizo kwa Mbeya City ikiwa Uwanja wa Sokoine, ilianza kuitungua Lipuli mabao 2-1 na jana iliitungua Mtibwa Sugar bao 1-0.

0 COMMENTS:
Post a Comment