Polisi Tanzania wao wapo nafasi ya nane na kibindoni wana pointi 34 zote zikiwa zimecheza mechi 23.
Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa malengo makubwa ya timu yake ni kuendeleza falsafa ya kupapasa baada ya kumalizana na Coastal Union.
"Hakuna tunachokihitaji zaidi ya kuendelea falsafa yetu ya kupapasa, tumemalizana na Coastal Union sasa ni zamu ya Polisi Tanzania," amesema.








0 COMMENTS:
Post a Comment