February 9, 2020

Verified

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameanza safari kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unataotarajiwa kuchezwa kuchezwa Februari 11,2020.

Simba ina maumivu ya kupoteza mchezo wao mbele ya JKT Tanzania imeifuata Mtibwa Sugar yenye hasira za kufungwa na Lipuli.

Akizungumza na Saleh Jembe, Meneja wa Timu, Patrick Rweyemamu amesema kuwa wachezaji wapo safarini kuifuata Mtibwa.

"Kikosi kimeanza safari kwenda mkoani Morogoro, kila kitu kipo sawa na wachezaji wana morali kubwa," amesema.

Simba imetoka kupoteza mchezo wake mbele ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 itacheza na Mtibwa Sugar iliyotoka kupoteza mbele ya Lipuli kwa kufungwa bao 1-0.

5 COMMENTS:

  1. Mtibwa jihadharini. Pumpers FC aka Bebwabebwa FC wanakuja. Chezeni kama TFF hawana sheria ya Offside. Si uliona yule refa aliyechezesha na polisi alivyojitoa ufahamu kwa bao la offside ambalo ata refa wa under 16 angepuliza filimbi na TFF hawajamchukulia hatua. Vinginevyo muombe marefa kutoka Zanzibar wale waliochezesha Mapinduzi

    ReplyDelete
  2. Nyie Kanda mbili mnajichokoa vidole wenyewe halafu mnapiga kelele wenyewe kama vile mmepachikwa na mtu mwengine.Ya Simba na mtibwa waachieni Simba na mtibwa na kama tamaa ni ubingwa basi mtateseka sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwangu ungeanzisha kikundi cha tarabu ungefika mbali sana so uku unapoteza kipaji chako bure vip umekulia kwa bibi nn

      Delete
  3. Malalamiko FC at their best .Kazi kulalamika tu.Simba ongeeni uwanjani waachieni vimada waongee kwenye makundi yao.

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo unamaanisha πŸŽΆπŸ“’πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈ ni vimadaa hahaaaaaa ila upo sahii

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic