Simba 2-1 Polisi Tanzania
Sabilo gool dk 22
Bocco Goaal dk 56
Goal Ajibu dk 90+5
MPIRA kati ya Simba na Polisi Tanzania ya Moshi, umekamilika kwa Simba kushinda kwa mabao 2-1.
Polisi Tanzania walianza kufunga bao lililopachikwa kipindi cha kwanza na nyota wa Polisi Tanzania Sixtus Sabilo dakika ya 22 na Simba ilisawazisha dakika ya 56 kupitia kwa John Bocco.
Ibrahim Ajibu alifunga bao la ushindi dakika ya 56 akimalizia pasi ya Francis Kahata.
Magoli ya off side yazidi kuibeba simba, yakaa kileleni kwa magoli kibao ya utata, TFF hii vilabu vingine mtaikoma
ReplyDeleteUnashindwa nini wewe kujifunza urefarii na kuja kupewa beji ya FIFA na kuja kuchezesha mechi za Simba na kuzikataa hizo offside?
DeleteKulalamika FC
ReplyDeleteSimba hamna timu humu maveterani hao wamekata pumzi magoli ya off side
DeleteNyinyi vyura wa jangwani hamna kazi zaidi ya maneno wapumbavu nyinyi kandambili
ReplyDeleteWa Matopeni wameshaanza vituko
ReplyDeleteMnaharibu soka la Tanzania ninyi, marefa wenu na TFF yenu. Kwa nini kila siku magoli yenu yanapatikana kwa utata tu na yanakubalika? Leo nimeamini kuna makusudi inafanyika kuwabeba. Ila kumbukeni mbereko itakatika tu nanyi mtabwagwa chini
ReplyDeletemnzazidiwa point 20 kasoro moja.mnazidiwa magoli 22 ya kufunga..Yote hayo Simba inapewa...akili za kuambiwa au kusikia ongeza za kwako pia.Magoli ya Yanga ambayo ni offside dhahiri sio tabu!kamaoeni wakati wa Malinzi na ubingwa mlipewa buree
DeleteHiyo inaitwa CLEAR OFF SIDE, bila kujali wewe Ni Simba au Yanga, Ni Off side ya wazi.
ReplyDeleteHawa mikia wanashabikia magoli tu hata ya off side. Kuna rafiki yangu simba kindakindaki lakini goli la Kagere dhidi ya Namungo na la leo la Bocco ameyakataa kabisa. Lakini hawa tunaojibizana nao hapa hawajitambui kabisa kuwa wanashangilia magoli ya off side kila siku
Deletehamna offside hapo kabla mpira haujapigwa mabeki wa polisi walikuwa wameishamfikia Boko..Inategemea na utafsiri wa Vyura hata cheini huitwa hirizi
DeleteGSM imemalizika betri muhamaki na mropokwe Mnyama hawamuwezi na kila mkichapwa semeni magoli ya Kununuwa na sisi kwetu furaha tupu na ubingwa mtausikia tu
ReplyDeleteKwani hapa tunazungumzia GSM au magoli yenu ya kubebwa? Kumbukeni hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho wa ubaya ni aibu na fedheha
DeleteNdugu zangu msihangaike kuongea na hao vyura wa jangwani aka kandambili hawajuwi watendalo masikini ya mungu
ReplyDeleteKafungwa Polisi anayeteseka Chura.Punda wa nyuma kapigwa mijeledi ajabu anayelia kwa sauti ni punda wa mbele.
ReplyDeleteDuh
ReplyDeleteMpaka muda unaongezwa?walahi mo ni namba moja
Muda umeongezwa kwa Simba tu au Polisi saa ilikuwa imesimama?
ReplyDeleteOffside kwa maana yakwamba mchezaji amezidi kunako eneo la goli la timu pinzani wakati anapokea pasi kuelekea kufunga. Swali ni je John Boko wakati anapokea mpira alikuwa yupo offside?
ReplyDeleteMsijitoe kimasomaso mambo kwenu magumu mmeelemewa vibaya na ndio mana maneno yenu ovyo na wala hayana uzani wala mashikilio mmeshavunjika mioyo kila
ReplyDeletemnapomuona Mnyama anakata mbuga munaiyona mikia kwa mbali na kwa kila goli Mnyama anafunga mnalitia ila badala ya kuishughulikikia timu yetu.. Mnyama Oyeee