February 22, 2020


FT:Simba 3-1 Biashara United
Uwanja wa Taifa
Goal:Luis dk 35
Goal : Kagere dk ya 68
Goal : Dismas dk ya 71
Goal: Kahata dk ya 86

Zimeongezwa dakika nne
Dakika ya 90+4 Bocco anatoka anaingia Kenedy
Dakika ya 90 Luis anatoka anaingia Dilunga
Dakika ya 81 Inocent mwenye mabao matano anaingia Lambele mwenye bao moja ndani ya Ligi Kuu Bara kwa Biashara UnitedKadi ya njano kwa Biashara United kwa Okole Milton
Dakika ya 79 Kagere anatoka anaingia Shiboub
Dakika ya 71 Dismas anafunga bao la kwanza kwa Biashara United pasi ya Atupele
Dakika ya 68 Kagere anafunga bao la pili kwa Simba kwa asisti ya Luis
Dakika ya 56 mchezaji wa Biashara United Ally Kombo anakutana na msukosuko wa Jonas Mkude
Dakika ya 47 Biashara wanapiga faulo  Zinaongezwa dakika tatu Dakika ya 35 Luis anafunga bao la kuongoza kwa Simba akimalizia pasi ya Mkude Jonas Dakika ya 35 Innocent Edwin anaipa tabu safu ya Simba na wanapiga kona ya kwanza sawa na SimbaDakika ya 28 Biashara United wanafanya jaribio nje ya 18 linapaishwa
Dakika ya 26 Kagere anakosa penalti iliyopanguliwa na mlinda mlango wa Biashara United
Dakika ya 25 Simba wanapewa penalti inayopigwa na KagereDakika ya 24 Derick Mussa anaonyesha kadi ya njano kwa tafsiri kumchezea rafu Kagere
Dakika ya 16 mlinda mlango wa Biashara United anapewa huduma ya kwanza
Dakika 15 za mwanzo timu zote zimekuwa zikiwindana kwa zamu huku mchezo ukiwa kwenye mzani sawa kwa sasa
Dakika ya 15 Biashara United wanakosa nafasi ya wazi wakiwa ndani ya 18
Dakika ya 7 Bocco anafanya jaribio kwa kichwa linatoka nje kwa pasi ya Kagere
Dakika ya 5 Biashara United wanaingia anga za Simba

5 COMMENTS:

  1. Pambaneni tupate ushindi wa goli 3 tu.

    ReplyDelete
  2. Yap tatu na point 3

    ReplyDelete

  3. Mnyama anawatia kiwewe wale watu nao wanahesabia watashinda michezo yote iliyobakia. Hizo ndoto, za mchana kweupe. Hashikiki mnyama

    ReplyDelete
  4. Wapo Tanga wakingojea Majaliwa Yao hapo kesho. Kucha leo wataota wanaparurwa kwa makucha makali hapo tarehe 8 ijayo.

    ReplyDelete
  5. Hapana bado mapema sana,tusimalize maneno jamani,hata man city alivyoachwa na liver alikua akijipa matumain kwamba bado yeye ni bingwa.simba nguvu moja tuache majungu jamani tuiombee timu yetu ifike mbali mpaka kuchukia ubingwa.mungu ibariki simba.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic