February 27, 2020


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo chanya mbele ya Simba kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Machi 8.

Mchezo wa kwanza ambapo Simba ilikuwa mwenyeji timu zote zilitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.

Antonio Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema kuwa wamejipanga kuona namna gani watapata matokeo chanya kwenye mchezo huo.

"Kila kitu kipo sawa kwani sare zimeandaliwa kwa ajili ya mchezo huo na kazi itakuwa moja tu kutafuta matokeo chanya na hilo linawezekana mashabiki watupe sapoti," amesema.

5 COMMENTS:

  1. WAANDAE SARE TU ILA LAZIMA WAPIGWE ILI WATUELEZE KWAMBA JE NAO WAMEUZA MECHI MAANA SIMBA HAIWEZI KUSHINDA BILA KUNUNUA MECHI SO WAJIANDAE KISAIKOLOJIA KUJIBU MASWALI KAMA HAYO,WAPUMBAVU SANA TIMU KILA SIKU DROO ALAFU MNAJISIFU MPO KIWANGO CHA JUU LABDA CHAKUSULUHU,simba ni super brand nyie endeleeni kukusanya sare wakati mnyama anachanja mbuga kama liverpool.

    ReplyDelete
  2. Cha ajabu wanatoa droo 4 halafu wanajipa matumaini yq kuifunga simba yaan hawa ni mapunguwan sjawai ona

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic