UONGOZI wa Simba umesema kuwa unazitaka pointi tatu za Azam FC ilikuendelea mbio zake za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Simba inaongoza ligi ikiwa na pointi 65 kesho itakutana na Azam FC kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Machi 4.
"Wachezaji wanajua kwamba muda wa mchezo ni lazima kila timu iwe sawa na ifanye kle ambacho wanaelezwa ila kwa sasa kila kitu kinakweda sawa," amesema.
Mchezo wa kwanza uliochezwa hapahapa Dar, Yanga ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 mbele ya Simba.

Sasa ni Yanga au Azam inayozungumzwa hapa?
ReplyDelete