April 3, 2020

OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amewataka wachezaji kutumia muda huu wa mapumziko kupata ushauri kutoka kwa wapenzi wao, wake zao ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.


  Ligi Kuu England pamoja na ligi nyingine duniani zimesimamishwa kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Solskajer amesema:" Katika wakati huu mgumu ambao tunapitia itakuwa vema kwa kila mchezaji kutumia ushauri wa mke wake ama mpenzi wake ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.

"Muhimu kwa wachezaji kufanya hili jambo ili kulinda vipaji vyao na inawezekana kwao kuwa bora," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Sijaelewa vizuri, kuwatumia wake zao kupata ushauri kufanya mazoezi....au kufanya mazoezi na wake zao?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic