April 16, 2020

3 COMMENTS:

  1. Wewe agent wa yanga huwezi kuivuriga simba na magazeti yako uchwara. Gazeti gani habari zote nzuri yanga na mbaya zote simba. Fake news from bwawani fc

    ReplyDelete
  2. Dawa ni wanasimba kususia hivi vijarida.Haiwezekani kila siku kuiandama Simba.Enough is Enough.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakuwa mshamba na mbumbumbu kama hutomuunga mkono Simba mwenzako Saleh ally mwenye kadi namba 001133 kwa vile ameandika habari inayowapendeza upande wa pili.Huyu ni mfanya biashara hivyo anaangalia upepo wa biashara umelala upande gani,kumbuka siku Yanga ikifungwa magazeti mengi hayanunuliwi kwasababu watu wengi wa Yanga ni wale wa hali ya chini hivyo wanajiburudisha kwa kusoma magazeti tofauti na mabwanyenye wanaotumia mitandao ya kijamii kama Simba.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic