April 17, 2020

SADIO Mane mshambuliaji wa Liverpool inaelezwa kuwa yupo Kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Real Madrid,  Zinadine Zidane ambaye anataka kupata huduma yake.

Mane amekuwa kwenye ubora  ndani ya Liverpool ambapo ametupia mabao 14 na kutoa pasi saba za mabao msimu huu jambo ambalo limemfanya Kocha wa Madrid kuhitaji huduma yake.

Kocha Mkuu wa Liverpool,  Jurgen Klopp amesema kuwa mpango mkubwa wa kuiboresha timu yake iwapo Mane ataondoka atahitaji huduma ya Mbappe wa PSG.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic