PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amese
ma kuwa kwa muda ambao Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa sasa amekumbuka purukushani za timu yake kusaka matokeo uwanjani.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara Bara imesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona.
Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa ni jambo bora ligi kusimamishwa ila wamekumbuka purukushani za kusaka matokeo uwanjani.
"Tupo kwenye kipindi kigumu kwa sasa ila ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ila tumekumbuka zile purukushani za kusaka matokeo uwanjani, tunaomba mambo yake sawa ligi irejee," amesema.

0 COMMENTS:
Post a Comment