April 9, 2020


BEKI wa Barcelona, Sergi Roberto amefunguka kuwa anatamani kuona kuwa kama La Liga itarejea basi  klabu zipewe muda mfupi kidogo  wa mazoezi kwa kujipanga kisha kuendelea.
  Ligi kwa sasa zimesimama ikiwemo La Liga kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa COVID19  wa Virusi vya Corona ambao unasambaa kwa kasi ndani ya Hispania na kwingineko duniani.
Roberto alisema:” Matumaini yetu ni kuona kuwa kabla ya La Liga kurejea basi timu  zinapata nafasi ya kufanya mazoezi kwa pamoja japo kwa sasa kila mtu anafanya kivyake kutokana na hali halisi,”alisema beki huyo.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic