April 3, 2020


 VALENCIA imejipanga  kuanza mazoezi yake kama klabu ifikapo, Aprili 13, mwaka huu, licha ya mastaa wake kupata Virusi vya Corona na tayari wengine wamepona.
 Mechi yake ya mwisho ilichezwa dhidi ya Atalanta ya Italia  nchini Hispania huku wapinzani wao kutoka Italia walishinda na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 Taarifa zinaeleza kuwa  baadhi ya nyota wa timu hiyo wataanza mazoezi Aprili 13, mwaka huu.
Mpaka sasa bado tarehe rasmi za La Liga kurejea haijatangazwa.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic