Kwahakika waandishi wetu ni watu wa kuchekesha Sana na wapo wasemao eti hio ni kumuumuza Mnyama kisaikolojiya. Myama hatetereki. Tazama yupo kimya mambo chini kwa chini na mngurumo wake utawaamsha waliolala
Wapo chini ya pay check wanalipwa kujenga image isiyokuwepo. Wale wanaosema ni njama maalum nimeanza kuwaelewa. Najiweka kando nä haya magazeti ya Champion.
Asanteni waandish kila siku hesabu zenu zaonesha wachezaji wapya sita kujiunga na Yanga na mmoja au Wawili kujiunga na Simba
ReplyDeleteYanga kiboko ina maana wageni watakua zaidi ya ishirini sasa maana kila kukicha wanaonhezeka.
ReplyDeleteKwahakika waandishi wetu ni watu wa kuchekesha Sana na wapo wasemao eti hio ni kumuumuza Mnyama kisaikolojiya. Myama hatetereki. Tazama yupo kimya mambo chini kwa chini na mngurumo wake utawaamsha waliolala
ReplyDeleteWapo chini ya pay check wanalipwa kujenga image isiyokuwepo. Wale wanaosema ni njama maalum nimeanza kuwaelewa. Najiweka kando nä haya magazeti ya Champion.
ReplyDelete