ISHU YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI ILIYOTINGA TAKUKURU, MEJIBIWA NAMNA HII NA TFF ISHU ya TAKUKURU kueleza kuwa wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya bilioni moja iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Cecafa ya Vijana imejibiwa namna hii na Shirikisho la SokaTanzania:-
Haya Sasa tuone hawa wahujumu uchumi watachukuliwa hatua gani au ndio walewale tuu
ReplyDelete