June 28, 2020

5 COMMENTS:

  1. Ina maana wewe ndio watambua leo?pole sana kijana kwa ukanjanja wako,SIMBA alishakua bingwa hata kabla ya korona kuitikisa dunia buraza,na hata hiyo nafasi ya pili haipati anakaa kwa muda tu hapo Azam atarudi muda sio mrefu,mrchi zilizobaki yanga atapoteza mbili nakushinda tatu na suluhu moja,atavuna jumla ya alama 70,wakati Azam atashinda mechi nne na suluhu mbili atakua na jumla ya alama 73,subiri muda utaongea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa mtabiri na nabii wa magazeti

      Delete
    2. Kama una povu litoe brother usiogope sawa.

      Delete
  2. Prophet of doom. Naona umesarenda na theories zako za conspiracies.Umezidiw pointi 18 na MAGOLI 40 na mchezo mmoja mkononi bado unalalama. SIMBA ni bingwa on merit.Hakuna timu ya level yake Tanzania. Ligi ni marathon sio mbio za mita 100.Kama huna pumzi utaishia kulalamika och kuna njama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. �� i salute you brother with two hands.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic