FT:Yanga 3-2 Ndanda
Dakika 4 zinaongezwa
Dakika ya 90 Yanga wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 86 Yanga wanapiga kona kupitia kwa Sibomana
Dakika ya 78 Sibomana anaingia anatoka Molinga
Dakika ya 77 Fei Toto anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 73 Ngassa anafunga Goool la tatu baada ya kipa kutema
Dakika ya 72 Niyonzima anampa Juma Abdul
Dakika ya 71 Yanga wanapeleka mashambulizi Ndanda
Dakika ya 65 Ngasa anapiga kichwa kinagonga nguzo
Dakika ya 63, Nchimbi anatoka anaingia Ngasa
Dakika ya 63 Adeyum anapaisha mpira
Dakika ya 55 Adeyum anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 52 Mayanga anamchezea faulo Fei Toto
Dakika ya 45 Kigi Makasi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kaseke
Makame anaingia kuchukua nafasi ya Raphael
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko
UWANJA wa Taifa kipindi cha Kwanza
Yanga 2-2 Ndanda
Goal dk ya 45 Kaseke
Dakika 45 zimekamilika zinaongezwa 2
Dakika ya 44 Makapu anaokoa hatari iliyokuwa inaelezwa Yanga
Dakika ya 40 Yanga wanapeleka mashambulizi Ndanda
Dakika ya 38 Molinga anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 37 Kaseke anachezewa faulo
Dakika ya 36 Mponda anapiga off target ndani ya 18
Dakika ya 36 Mayanga amecheza faulo
Dakika ya 31 Adeyum anapiga kona kwa Yanga inagonga mwamba
Dakika ya 30 Juma Abdul anamwaga maji
Dakika ya 29 Fei Toto anachezewa faulo
Dakika ya 27 Molinga anaotea
Dakika ya 19 Adeyum anapiga faulo inagonga mwamba
Goal la Ndanda Omary Abdul
Goal Ndanda Abdul Seleman dk 9
Goal Yanga, Deus Kaseke
Mara paaa simba kama liverpool,ha ha ha ha ha ha ha maisha raha sana hongereni watani kwakumrahisishia mnyama kazi ngumu.
ReplyDeleteLazima mnyama akamwage damu kesho hakuna kitu rahisi hapa.
ReplyDelete