June 27, 2020


 MATOKEO ya mechi za leo Juni 27 yapo namna hi:-

Mwadui FC 1-0 Mtibwa, Uwanja wa Mwadui Complex, Wallace Kiango 56’.

 Alliance 1-0 Coastal, Uwanja wa Nyamagana,Martine Kiggi 47.

 Kagera 1-1 KMC, Uwanja wa Kaitaba, Yussuph Mhilu 40’ | Abdul Hassan 22 kwa KMC.

 Ruvu 1-1 Namungo, Uwanja wa Mabatini, William Patrick 30’ | Abeid Athuman 16 kwa Namungo.

 Mbeya 2-0 JKT, Uwanja wa Sokoine, Peter Mapunda 37’, Patson Shigala 90’+2 .

Biashara 1-1 Azam, Gershon Kabeja  90+4 | Frank Domayo 48’kwa Azam FC.

 Singida 2-3 Lipuli Stephen Sey 35’, 41’ | Daluesh Saliboko 32’ p, 33’, Joseph Ntamack 57’kwa Lipuli.

 Yanga 3-2 Ndanda, Uwanja wa Taifa, Deus Kaseke 6’, 45+1, Mrisho Ngasa 74’ | Abdul Hamis 10’, Omary Mponda 16’kwa Ndanda.

3 COMMENTS:

  1. Weka msimamo wa ligi.

    ReplyDelete
  2. Onger Team yangu ya wananch kwa uxhind

    ReplyDelete
  3. ligi yetu ni bora sana na kasoro zilizopo zikishughulikiwa basi itakuwa poa kweli kweli.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic