MUDA wa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Taifa utakuwa ni saa 1:00 usiku. Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Taarifa ambayo imetolewa leo imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa.
0 COMMENTS:
Post a Comment