KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara kinaendelea Julai 15 leo ambapo timu sita zitakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu.
Mambo yatakuwa namna hii:-
Ruvu Shooting v Mwadui FC, Uwanja wa Mabatini.
Lipuli v KMC, Uwanja wa Samora.
Biashara United v Polisi Tanzania, Uwanja wa Karume.
Mechi zote zitapigwa saa 10:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment