EMILLY Mugeta beki wa zamani wa Simba amepata dili la kujiunga na Klabu ya Freiburger FC. Nyota huyo, raia wa Tanzania amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ndani ya Klabu hiyo akitokea timu ya SV Endingen. Timu aliyosaini nyota huyo inashiriki Ligi Daraja la Tano nchini Uingereza.
Mwandishi tuweke sawa, ni ujerumani au uingereza?
ReplyDeleteHao ndio Waandishi makanjanja , wanaweza kukwambia klabu ya TP Mazembe ipo India na Meddie Kagere ni Mbrazil.
ReplyDeleteNi Ujerumani. Hivi huwa unaamini kinachoaandikwa na hii blogu ?
ReplyDelete