KOCHA Mkuu wa Klabu ya KMC, Hererimana Haruna amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020. Hererimana alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Sven Vandenbroeck wa Simba na Khalid Adam wa Mwadui FC alioingia nao fainali.
0 COMMENTS:
Post a Comment