METACHA Mnata mlinda mlango namba mbili wa Yanga leo anatarajiwa kukaa langoni wakati Yanga itakapomenyana na Simba Uwanja wa Taifa.
Amecheza jumla ya mechi 17 na ana clean sheet mbili kwenye Kombe la Shirikisho ambapo alikaa langoni mechi tatu.
Mnata amekuwa akiaminiwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael ambapo kwenye dabi ya Machi 8 Uwanja wa Taifa Mnata alikaa langoni.
Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kushinda bao 1-0 huku mzawa huyo akiokoa michomo ya mtupiaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere na nahodha John Bocco.

0 COMMENTS:
Post a Comment