LICHA ya kuipa Simba ubingwa wa tatu mfululizo bado maisha yake ndani ya kikosi hicho hayana muda mrefu kutokana na mvutano uliopo ndani ya uongozi.
Habari zinaeleza kuwa kikubwa kitakachomponza Sven Vandenbroeck ni misimamo yake ya kufuata misingi ya ukocha jambo linalomfanya asiwe na kundi linalompa sapoti kwa sasa pamoja na mkataba kufika ukingoni.
Sven raia wa Ubelgiji alipokea mikoba kutoka kwa
Patric Aussems maarufu kama Uchebe ambaye naye kutolewa kwake kulisababishwa na misimamo yake licha ya kuwa na uwezo mkubwa ndani ya uwanja.
Uchebe alisepa baada ya kusimamishwa kwa muda na uongozi wa Simba ambao baadaye ulitoa taarifa kwamba Patrick amepigwa chini kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri ndani ya kikosi.
Habari kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa:"Ishu ya kuzuia wachezaji kushangilia ubingwa walipotoka Lindi bado inaishi kwenye mioyo ya viongozi muda wowote kuanzia sasa anaweza kupigwa chini kinachosubiriwa ni sehemu ya kutokea tu.
"Mechi hizi tatu alizonazo mkononi ndizo zimeshikilia hatma yake, ile ya Mbao kupigwa mashabiki wanajua kikosi kilikuwa cha ushkaji sasa ipo yenyewe kubwa akiboronga tu safari imewadia," kilieleza chanzo hicho.
Alipotafutwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa afafanue kuhusu dili la Sven pamoja na mkataba wake alisema:"Siwezi kuzungumza chochote kuhusu hilo,".

Wacha UZUSHI. Mkataba unafikia ukingoni.Kama utaongezwa au la ni jambo la kusubiri.Tukio la kutowaruhusu wachezaji kushangilia kwenye gari la wazi ni uamuzi wa kishujaa na kiweledi. Na ulichangia Simba kuipiga Yangs goli 4 kwani wachezaji walipata muda wa kupumzika na kutafakari.
ReplyDeletehuu mtandao unaishi kwa habari za uzushi kama hizi
ReplyDeleteSimba wamfukuze kocha sasa walete kocha mpya na champion league hiyo hapo sibure watakuwa wamerogwa.kwa kiwango cha simba hivi sasa hata wakiamua kumfukuza kazi kocha wao basi huko endako kutamfurahisha zaidi.
ReplyDeleteWanafukuza Madrid,Chelsea,Barca itakuwa Simba SC
ReplyDelete