July 24, 2020

5 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Hiyo stori ya Rasta wa Asante Kotoko nina mashaka nayo. Huyo mchezaji alishaachana na Asante Kotoko Aprili 2020 na kujiunga na Medeama FC kwa dau kubwa. Ni baada ya timu nyingine kubwa kama Orlando Pirates kushindwa dau.

    ReplyDelete
  3. Kwa mujibu wa hesabu zenu huyu atakuwa mchezaji wa hamsini wa kigeni kusajiliwa Katika kikosi chetu cha Jangwani. Inaingia akilini?

    ReplyDelete
  4. Kama hela kweli ipo si bora kumsajili Mnyata ambae hapo mwanzo mliripoti tayari ameshasajiliwa

    ReplyDelete
  5. Tulio nao klabuni wetu bado hamjamalizana na hapa mnajinasibu kuchukua wa bei mbaya kweli kweli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic