Ligi Kuu Bara leo inaendelea ambapo mechi zitakuwa namna hii kwenye viwanja tofauti:- Namungo v Tanzania Prisons, Uwanja wa Majaliwa. Yanga v Mwadui FC, Uwanja wa Taifa. Ndanda FC v Ndanda FC, Uwanja wa Nangwanda Sijaona. Ruvu Shooting v Singida United, Uwanja wa Mabatini.
Ndanda FC anacheza na nani?????
ReplyDelete