July 29, 2020


TUJIKUMBUSHE safari ya Namungo FC mpaka kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho ilikuwa namna hii:-

Mzunguko wa 64, Namungo FC 1-0 Green Warriors, Desemba 22, Uwanja wa Majaliwa, Lindi.

Mzunguko wa 32 bora, Namungo FC 2-1 Biashara United, Januari 26,Majaliwa Januari 26.

Mzunguko wa 16 bora, Mbeya City 1-2 Namungo FC,Februari 25, Sokoine, Mbeya.

Robo fainali, Namungo 2-0 Alliance FC, Uwanja wa Majaliwa, Juni 30.

Nusu fainali, Julai 11, Sahare All Stars 0-1 Namungo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.


Agosti 2 itamenyana na Simba, Uwanja wa Nelson Mandela

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic