July 15, 2020

Leo Julai 15 Ligi Kuu Bara inaendelea Kwenye viwanja sita tofauti ambapo timu 12 zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. 

Mtufuano mzima wa kusaka ushindi utakuwa namna hii:-

JKT Tanzania v Alliance FC,  Uwanja wa Jamhuri. 

Mtibwa Sugar v Azam FC,  Uwanja wa Gairo.

Yanga v Singida United,  Uwanja wa Taifa. 

Namungo v Mbeya City,  Uwanja wa Majaliwa.

Ndanda v Tanzania Prisons,  Uwanja wa Nangwanda Sijaona. 

Mechi zote zinatarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni.

3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic