VIDEO: TAMKO LA SERIKALI BAADA YA STARS KUCHAPWA NA LESOTHO 1-0 HILI HAPA
“Bado tuna matumaini. Vijana wamecheza vizuri sana” – Kauli ya Waziri Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harison Mwakyembe, asema upepo umechangia, awashauri Lesotho kubadili uwanja.
Mchezo huu wa kuwania tiketi ya kufuzu AFCON 2019 uliopigwa nchini Lesotho, umemalizika kwa Tanzania kufungwa bao 1-0 na wenyeji Lesotho.
0 COMMENTS:
Post a Comment