July 22, 2020


FT: Mtibwa Sugar 1-1 Yanga
UWANJA wa Jamhuri,  Morogoro
Zinaongezwa 4
Dakika 90 zimekamilika 
Dakika ya 85 Kaseke anaonyeshwa kadi ya njano ya pili na kuonyeshwa nyekundu 
Dakika ya 82 Adeyum Gooal  Dakika ya 77 Nduda anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 75 Kabwili anaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 57, Ngassa anaingia kuchukua nafasi ya Molinga 
Dakika ya 45 Nchimbi anaingia anatoka Lamine Moro 
Kipindi cha piliMapumziko

Mtibwa Sugar 1-0 Yanga
Zinaongezwa dk 2
Dakika 45 zimekamilika 
Dakika ya 44 Yanga wanaoata faulo haizai matunda 
Dakika ya 42 Kabwili anaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 36 Kaseke anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 28 Chanongo Goooool
Dakika ya 23 Kihimbwa anafanya jaribio linaokolewa na Kabwili Dakika ya 15 Juma Abdul anamchezea faulo Kibaya Dakika ya 10 Yikpe anacheza faulo
Dakika ya 07 Ramadhan Kabwili anaokoa hatari na kuanzisha mashambulizi.

Dakika ya 04 Issa Rashid alifanya jaribio linakwenda nje ya lango.

3 COMMENTS:

  1. Poleni Sana vijana wa yanga. Sasa jitayarisheni kwa ubingwa wa mwakani kutokana kwa usajili wa kufa kupona mlioufanya lakini itabidi Kwanza kutambuana na kuheshimiana

    ReplyDelete
  2. Maneno ya kanga hayo.Kwanza leo Nduda kauza mechi mlikuwa mpigwe huko Morogoro.

    ReplyDelete
  3. Huyo Nduda hajauza mechi wala nini. Ni kipa mzuri sana ila hayuo makini na uchezaji wake. Ana mbwembwe ambazo hazina faida kabisa. Kabla ya goli alishafanya mbwembwe za kijinga zqidi ya mara tatu lakini washambuliaji wa Yanga hawakuwa makini kwani wangepata magoli. Nashangaa sijui kwanini Katwila hakuliona hilo na kumtoa mapema. Mtibwa ikishuka mwaka huu lawama zote ziende kwa Nduda. Kama sikoseihuyo kipa ndie aliyeleta mbwembwe akaharibu rekodi za Simba za kutofungwa msimu mzima baada ya kuruhusu goli la hivyo Simba ilipocheza na Kagera alipoizadia Kagera goli.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic