Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema hayo leo, makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania ambapo kuna mkutano wa waandishi wa habari.
Leo Agosti 17, ratiba rasmi inatolewa kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Septemba 6.
wamepeleka mbali sna ingetakiwa wafungue msimu
ReplyDeleteYanga ina bahati sana na namba 8. Mechi ikipigwa tr. 8, 18, 28 najua kabisa anashinda. Simba tuna bahati na namba 2, tr. 2, 12 na 22. Kwa hiyo tusubiri.
ReplyDeleteUSIKARIRI DUDE
DeleteWacha ramli chonganishi
DeleteHuyo mganga wako bila shaka alikuagiza matembele na mnafu
DeleteJumapili
ReplyDeleteKuna watu wanapiga ramli chonganishi hapa
ReplyDelete