August 6, 2020

HII hapa orodha kamili ya wachezaji wa Yanga ambao wana uhakika kukipiga kwa msimu wa 2020/21

MAKIPA
1. Farouk Shikalo
2. Metacha Mnata
3. Ramadhan Kabwili

BEKI WA KULIA
4. Paul Godfrey

BEKI WA KUSHOTO
5. Yasin Mustafa (Mpya)
6. Adeyoun Saleh

MABEKI WA KATI
7. Lamine Moro
8. Said J Makapu
9. Bakari Nondo Mwamnyeto ingizo jipya kutoka Coastal Union
10. Abdallah Slhaibu Ninja Ingizo jipya kutoka Serbian timu ya MFK

VIUNGO CHINI
11. Zawadi Mauya ingizo jipya kutoka Kagera Sugar
12. Feisal Toto
13. Haruna Niyonzima
14. Abdulaziz Makame


VIUNGO WASHAMBULIAJI
15. Balama Mapinduzi
16. Deus Kaseke
17. Bernard Morrison
18.Juma Mahadhi

WASHAMBULIAJI

19. Wazir Junior ingizo jipya kutoka Mbao
20. Ditram Nçhimbi

8 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Cha msingi elewa kuwa ni mchezaji wa Yanga, hayo mengine hayakuhusu wewe kama msomaji wala mwandishi wa makala haya. Ni kocha!

      Delete
  2. Hayo mengine mwachie kocha, cha msingi huyu ni mchezaji wa Yanga

    ReplyDelete
  3. huo umbea kwani hatujui wachezaj wa yanga

    ReplyDelete
  4. Bado sijaona timu hapo..labda watakapo sajili hao mapro.. viwango vya wachezaji wapya ni vya kawaida sanaaaa

    ReplyDelete
  5. YANGA DAIMA MBELE, Nawatakia kila la kheri viongozi wote, katika kipindi hiki Cha usajili. MUNGU awaongoze vyema.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic